Memorable Jokes

A source of Good humor, Jokes, Funny pictures and giggles and through laughter we can lead the world to health, happiness, and peace.

Thursday, June 14, 2007

Umuhimu Wa maji

Andika insha kuhusu UMUHIMU WA MAJI .

MBOGO ANDIKIRE INSHA YAKE UU:

Siku moja ng'ombe setu silikuwa simenyota sana ,Babangu aliniabia nisitware sikanywe maji. Silipofika, silikuta gatangi ka mai kamegaragario, Ng'ombe sikaanza kuania. Sikaania,sikaania, sikaania mpaka babangu akatoka rugongo akakuja kianda. Akaniuliza "Mbogo, kwanini ng'ombe sinaania hivyo? Nikamwira ni gatangi kamegaragara. Alinichapa sana na ndio nikajua umuhimu wa maji Mwalimu ni akenirio ni insha iyo na akihe Mbogo marks 16/40.


0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home