Memorable Jokes

A source of Good humor, Jokes, Funny pictures and giggles and through laughter we can lead the world to health, happiness, and peace.

Friday, June 27, 2008

Mchongoano

1. Kwenu kumejaa mpaka mende zinacommit suicide.
2. Ati guka yako mzee mpaka chest yake imeandikwa 'THE END'
3. Ati kwenu kuchafu hadi mende wanavaa slipers!
4. Ati Tv yenu ni small mpaka ina scrollbars.
5. hao yenyu ndogo, ukiingia umetoka.
6. Wewe mweusi mpaka ukirushiwa mawe inarudi kuitisha torch
7. Wewe mgondi mpaka ukishikilia ten bob Moi anabaki na vest
8. Budako ni fala alienda airport akauliza kama kuna ndege  pick-up
9. Budako fala alipaint aerial ya TV ndiyo ireceive color
10. Wewe knock-kneed and chick wako bowlegged mukisimama pamoja munaspell 'OX'
11. Walls za kwenyu ni thin neighbour akikata kitunguu mnaanza  kulia
12. Paka wenu mnoma mpaka aki shika panya inaitisha chumvi
13. Mnapikanga chapo na Robb ndio zikue chapo menthol
14. We mblack mpaka ukikutana na mzungu afte anakushow good evening?.
15. Ngombe yenu mzee mpaka inatoanga yogurt.
16. Kwenu kumekauka mpaka ngombe yenu hutoa milk powder
17. Nyinyi m-mesota mpaka mna-kunywanga chai na kifuniko ya Bic.
18. Ati budako ni mjinga mpaka alipo ingia kwa buu aliambia konda amshikie chuma ndio atoe pesa.
19. Budako ni fala, alienda kubuy ngombe akaona ikikojoa akasema, sitaki hiyo, imetoboka.
20. Nyanyako mzee mpaka chawa za nywele yake hutembea na bakora.
21. TV yenyu ndogo mpako mukiwatch 100m nyinyi humalizia kuiona kwa ma neighbours.
22. Wacha kujisikia na kwenyu Easter mulikula Patco na mapera.
23. Budako uhepa job kuswing na gate
24. Doggy yenu noma, inabark na tweng
25. Budako mrefu mpaka anauza mahindi kwa watu kwa plane
26. TV yenu small, mpaka Katherine Kasavuli ana inama kusema news.
27. ati wewe mweusi mpaka unaacha fingerprints zako kwa makaa
28. ati mathako mnono akivaa nguo ya yellow watu hufikiria ni taxi
29. we ni mweusi mpaka mabeste wakikupita wanasema"haiya cheki shortcut!"
30. we mrefu mpaka ukikunywa maziwa fresh,ikifika kwa tumbo imekuwa maziwa mala!
31. TV yenu nzee mpaka channel zake zinaonesha wakati wa akina noah!
32. Budako ako na skin tight mpaka akiwink mguu moja inainuka
33. Nyi muko wengi hadi mukipigwa family photo wengine wanahang kwa frame
34. ati wewe ni mweusi mpaka badala ya wasee kukuita wao huimbaile advert ya kiwi" hebu kitokeze , jionyeshe, simama mbele ya watu

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home