Memorable Jokes

A source of Good humor, Jokes, Funny pictures and giggles and through laughter we can lead the world to health, happiness, and peace.

Saturday, March 07, 2009

Tafakari ya Babu

Another from Swaleh Mdoe;
Niki angalia kopo langu la saa, naona saa moja imekatika dakika takriban
Kumi na kenda.....

Siku moja.....Babu alipimwa damu kwa kidole na nurse ikawa damu haitoki.
Ilimbidi nurse amnyonye kidole ndiyo damu itoke. Babu kuona raha akasema
mkojo pia haitoki....

2 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home