Memorable Jokes

A source of Good humor, Jokes, Funny pictures and giggles and through laughter we can lead the world to health, happiness, and peace.

Tuesday, April 19, 2011

Kaa Rada....

Mke kanunua line ya airtel amsurprise mumewe, Mume amekaa sitting room, mke akaenda jikoni akampigia mume na number mpya akasema "HALLO DARLING", Mume hakuijua number akajibu kwa sauti ya chini "KATA NTAKUPIGIA...! HII NG'OMBE YANGU IKO JIKONI"
..........Tafakari yaliofuata!
0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home