Memorable Jokes

A source of Good humor, Jokes, Funny pictures and giggles and through laughter we can lead the world to health, happiness, and peace.

Saturday, November 12, 2011

Bangi

Bangi na strungi ni kitu mbaya sana,watu wa pwani mko wapi?

Fala na Otoyo baada ya kiamsha kinywa cha bangi na strungi, waliliona embe juu ya mti wakaamua
kulipopoa.Wakarusha mawe mengi sana bila kufanikiwa kuliangusha lile embe.

Fala akasema; hebu ngoja isije ikawa embe lenyewe bichi, wacha nipande juu nikalicheki.

Baada ya dakika 5, Fala akashuka chini,akamwambia

Otoyo; nimelibonyeza na limeiva vizuri kabisa,tuendelee kulipopoa mawee!!!

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home