Memorable Jokes

A source of Good humor, Jokes, Funny pictures and giggles and through laughter we can lead the world to health, happiness, and peace.

Wednesday, November 30, 2011

Just for Laughs

Juzi Kibaki,Moi &Raila were kidnaped. They were taken 2 a town they dint knw. Kila mtu akaambiwa' aende anunue matunda 10 ama auliwe. Moi alikuwa wa 1st kufika na machungwa 10. Kumbe ilikuwa unawekwa hayo matunda kwa matako ama uuliwe. Moi aliwekwa 3 ya nne akaanza kulia. Raila alikuwa wa pili kufika na grapes kumi. Kwa sababu zilikuwa ndogo aliwekwa kwa urahisi lakini alipofikisha ya tisa, alicheka, zikatoka zote. Akaulizwa mbona amecheka na alikuwa karibu kumaliza? Raila akamjibu "Nimeona Kibaki akibeba watermelon kumi"...hehehe.

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home