Memorable Jokes

A source of Good humor, Jokes, Funny pictures and giggles and through laughter we can lead the world to health, happiness, and peace.

Tuesday, February 21, 2012

Valentine

Man : Habari ya nyina wa Kamau
Woman : *sneers* Mzuri. Wapi Maua?
Man : Ati maua?
Woman : *Slap* Kwani nimesema OMO?
Man : Sasa ni nini nyina wa Kamau?
... Woman : Nimekuuliza wapi maua!
Man : Eeee ... Nimesahau.
Woman : *Slap* Wapi? Hapa nje! *Slap* Umesahau
wapi?
Man : Wuuui. Sasa ni nini? Si maua nitaleta siku nyingine?
Woman : Kesho? *Slap* Leo unajua ni siku gani?
Man : Woooi! Falentine! Falentine!
Woman : Na maua iko wapi?
Man : Eeeee.... Sikupata saa ya kwenda kununua
Woman : *Slap* Kwani ulikuwa unaenda kuchukua
Kismayu? Eh?
Man : Sasa ni nini nyina wa kamau. Si nilikua na kazi
mingi...
Woman : *Slap* Hata malaya hukuwa na free time!
Kwani hii kazi kambuni yako wanafanya wanafanyianga
kwa mgongo yako ati ukiinuka kazi itamwagika?
Man : Sio hivyo.
Woman : Na maua iko wapi?
Man : Sasa haki nyina wa Kamau unataka nifanye nini?
Woman : Mimi nataka maua sijui kama utapanda
ukojolee mpaka imee. Nataka maua. Iko wapi maua
yangu?
Man : Ngai, sasa na ni saa tano ya usiku nitatoa wapi?
Woman : *Slap* Unaniuliza mimi? Ushawahi niona
nikiuza maua, eh? *Slap* Toka ulete maua! Jinga wewe!

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home